One Moment Please...
Login into Reggae Translate
Not Registered? Signup Here






Malaika

by Etana








Malaika lyrics with English Translations





"Malaika"

Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika

Ningekuoa mali we
Ningekuoa dada

Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika

Pesa
Zasumbua roho yangu
Pesa
Zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio eh

Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika

Kidege
Hukuwaza kidege
Kidege
Hukuwaza kidege

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio

Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika

Malaika
Nakupenda malaika

Ningekuoa mali we
Ningekuoa dada

Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika







Share this lyric





"Malaika" Song Info

  • 1K+








Etana's lyrics are copyright by their rightful owner(s) and Reggae Translate in no way takes copyright or claims the lyrics belong to us. "Malaika" lyrics is provided for educational purposes and personal use only.

Please support the artists by purchasing related recordings and merchandise.